GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, August 24, 2012

The Wedding of Emanuel and Florida. Na beep kidogo tu jinsi mambo yalivyojiri

Emanuel and Florida. Safi sana hakika mlipendeza sana

Nice
Nice


Hakika Florida alilitendea haki gauni lake la harusi


Haharusi wakiwa na wasimamizi wao bestman and MatronUpendo kwa wazazi
The Girls


The BoysSafi sana 

Swagga la funuwa mwali !. Safi sana

Emanuel akimtandika pingu Florida


Emanuel akisign mkataba wa kuishi pamoja mpaka kifo kiwatenganishe

Florida akisign huku Emanuel akiangalia kwa umakini
Upendo kwa Babu
Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Brig -Mess Lugalo


Safi sana. Kweli nimekubali hili swaggaNdafu

Dah nimekubali hi keki
Heshima kwa wakwe. Safi sana Florida

Janani mwisho wakunuku. Nawatakia weekend Njema