GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, August 9, 2012

The wedding of Andrew and Sanca. Onja kidogo tu

A.Chobu akiwa na My wife wake . Safi sana. Hakika mlipendeza sana

Nice


Hakika Bi harusi alilitendea haki gauni lake la harusi


Nice
Dah kwakweli nimependa hili swagga.  Nazani hi picha inaingia kwenye kumi bora ya the best wedding pix of 2012

Kwakweli nilipenda jinsi hawa maharusi walivyopanga siku yao. Kwanza harusi ilifungwa saa 11: 00 am na reception ilifanyika 6: 00 pm. kwahiyo maharusi walikuwa na 5 Hrs za kupiga picha. na mwisho kama ulivyo ona kulikuwa na bestman na matron pamoja na maharusi. watu wengine walipiga picha ukumbini ( wazazi) kwahiyo walipata muda wa kutosha wa kurelax na maswagga yakufa mtu bila kuogopa macho ya watu

Nice. Najuwa mnataka kujuwa haya maswaaga yalifanyika wapi. hapa ni (Mchanga mweupe)


Kwakweli nimependa hi view

Dah safi sana. Best man na matron nao waka towa swagga la Ruka Juuu

Nice

In Love


Happy Moment

The Kiss


Swagga la I love u
Bi Harusi akiwa na Matron wake. Safi sana

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao. Safi sana


Best man na Matron wakiwa kikazi zaidi

Sanca aka mke wa Michael akiwa na Matron . Safi sana hakika walipendeza sana
Safi sana
Namimi nikatowa swagga na maharusiBest man aka Obama. Safi sana Bro.  (Baba Baba Mambo ni mengi)NiceDah Jamani Mwisho wa Kunuku. Kwaniaba ya Grm Pro na wadau nawatakia maharusi hawa maisha mema yenye amani, upendo na Furaha.