GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, August 14, 2012

The wedding of Shubi and Salome Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Shubi akiwa na my wife wake salome. Safi sana hakika mlipendeza sana

Nice
Hakika Salome alilitendea haki gauni lake


Safi Sana. Shubi akitowa swagga la Baba mwenye nyumba


In Love


Upendo kwa wazaziKanisa walipofungia pingu. Ilikuwa Morogoro


Safi

Pingu
Ukumbini

Nice
Maharusi wakiingia ukumbini na style ya kipeke. Safi sana

First Dance

Jamani Mwisho wa kunuku