GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, August 31, 2012

The Wedding of George and Angelina Na beep kidogo tu jinsi mambo yalivyojiri Mjengoni -Dodoma

George and Angelina safi sana hakika mlipendeza sana
Nice


Nimekubali hili swaggaIn LoveThe First Look!

Safi sanaBest Man na Matron wakitowa swaggaAngelina akitowa swagga na Matron
Nice
George akiwa na Matron wakeSwagga la Baba Mwenye Nyumba


Nimekubali mazingira ya Dodoma Hotel

Angelina akiwa na The GirlsPia tulifunga mobile studio ndani ya Mjengoni. Safi sanaHakika Angelina alilitendea haki gauni lake la Harusi


Upendo kwa mamaUpendo kwa mama

Mazingira tulivu ya Dodoma

Dah nimelikubali hili kanisa

Nimependa Muonekano wake kwa ndaniHakika Mpambaji aliutendea haki ukumbiNimekubali hi mbali nakugaiwa vinywaji kila meza ilikuwa na Backup. Yani kama muudumu akichelewa unaendelea na kinywaji kilichoko mezani

Namimi nikatowa swagga.

Jamani mwisho wakunuku. Grm inawatakia George na Angelina maisha mema yenye furaha, amani na Upendo.
Wadau weekend njema!