GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, September 3, 2012

Puma Energy Rally of Tanzania 2012. Pole sana S.Mohamed and M.Mutama Dah onja kidogo. Exclusive

Mohamed and Mutama wakijianda kuanza Rally

Dah nilipokuwa napiga picha sikuamini macho yangu. Kila mtu alikuwa anawategemea kuwa huenda ndio wangeshinda rally. 

Dah kwakweli nilipokuwa napiga hizi picha nilikuwa nasali jama wapone wasije poteza maisha. Kweli mungu mkubwa

Kiutaalam nasema i was at wrong place with Right Camera and Lens(Nikon D3X and Lens 28-300 MM) Nikimaanisha nilikuwa nimesimama mbali sana na tukio

Dah kioo kikichomoka. Yani hapa ni nusu sekunde ila thanks kwa Camera yangu haijawahi kuniangusha hatasikumojaDah jama walichomoka bila hata kuchafuka wala kuumia. Kweli Mungu ni Mkubwa
Kweli ingekuwa nizile gari zetu za kimagumashi sizani kama kunamtu angechomoka akiwa mzima

Bahatimbaya Rejeta ilipasuka ila jama waliaka kuendelea na RallyDah Mchina wa gerage ya sinza akiwahi dili ya kunyoosha gari. Jamaa yuko faster. Kweli kufa kufaana!

kamanda

Kamanda
Nikimpa pole kamanda. Jamani Rally bado inaendelea nitawaletea matukio zaidi.