GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, September 19, 2012

The Wedding of Remmy and Sonia. Na beep Onja kidogo

Remmy akiwa na mke wake Sonia. Safi sana Hakika walipendeza sanaIn Love

Swagga la Beba Mwali. Safi sana. Sio watu wote wanaweza kuwabeba wakezao!Nice

Dah  Hakika Sonia  Umelitendea haki hili gauni Dah nimekubaliSwagga la baba Mwenye nyumba
Kwakweli Mmependeza. Nimekubali hu ubunifu wa Sonia. Kila mtu avae rangi yake. Safi sana sio kitu kirahisi. Hongera dada. Mama wa 8020 Upo !

Nice


Mume wa Sonia Akiwa na Bestman wake aka The Director. Safi sana


Maharusi wakiwa na Bestman na Matron

Upendo kwa Matron

Nice

Best Man Na Matron. Safi sana The Director wa 101 Studio akitowa swagga.


Nice. Hawa ni Mr and Mrs hawako kikazi.
Upendo kwa wazazi


NiceUpendo kwa Dada'sThe boys

Upendo kwa kaka


Nice

Jamani Mwisho wakunuku Chakula Bado kiko jikoni