![]() |
Rehema safi sana Hakika ulipendeza sana |
![]() |
Nice |
![]() |
Hakika Rehema amelitendea haki hili gauni lake. Safi sana |
![]() |
Rehema akiwa na Matron wake |
![]() |
Nice |
![]() |
Matron wa Rehema Safi sana |
![]() |
Nice. Swagga la mama Mwenye Nyumba. |
![]() |
Rehema akiwa na The girls. Safi sana. Jamani hi ni Sendoff tuu. Msije zani ni harusi! |
![]() |
The Girls Hakika Mlipendeza sana |
![]() |
Upendo kwa wazazi |
![]() |
Keki |
![]() |
Rehema akiingia ukumbini |
![]() |
Rehema akimkaribisha mume wake mtarajiwa. Ila sasahivi ni Mr and Mrs |
![]() |
Safi |
![]() |
Mume mtarajiwa wa Rehema akisalimia. |
![]() |
Dah nimependa hii. Rehema alimtandika mume wake mtarajiwa na Ndafu. Safi sana . Hu ni upendo uliotukuka. Safi sana. Sijui ni watu wangapi wakati wa sendoff waliwahi kupewa ndafu au hata keki. |
![]() |
Mume mtarajiwa wa Rehema akikata ndafu. |
![]() |
Safi |
![]() |
Jamani Mwisho wakunuku. |
No comments:
Post a Comment