GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, September 12, 2012

Jackline' Nights ndani ya YMCA Moshi-Kilimanjaro. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Jackline safi sana hakika ulipendeza sanaHakika ulilitendea haki hili gauni lako


Nice

Jackline akiwa na Matron wake safi sanaUpendo kwa kakaUpendo kwa kaka-Mheshimiwa Diwani


Safi sana
Upendo kwa kaka
Upendo kwa wazazi


Safi sana


Jackline akipokea baraka Hakika ukumbi wa YMCA moshi ulitendewa haki na mpambajiKaka 's wakimkabizi Mdogowao Jackline kwa moyo mkunjufu

Tunawakabizi dada yetu siunaona hana kovu lolote ole wenu tukute anakovu!........Mwanamke anapigwa ka Doti ya kanga!!!!!

Keki

Mila ilidumishwa

Jackline akimkaribisha Mume wake mtarajiwa chakula cha jioni


Introduction


Bestman Mtarajiwa

Burudani

Jamani Mwisho wa kunuku! Jackline nakutakia maandalizi mema ya Harusi