GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, September 11, 2012

Maandalizi ya Season 3 .
Nikiruka huku nikiwa nimekaa

Mawasiliano muhimu. Dah mwarabu noma ukipigiwa simu unachajiwa!


Swagga

Maandalizi


Hapa pazuri


Kaka kawa nikiwa ndani ya Jezi


Nikiwa kitaa 


Nikiwa na Mwalimu wangu.

Dah nililikubali hili begi. Hapohapo ni stand ya kuwekea kamera.  Jama aliniambia nikilinunuwa niakuwa mwafrika wa kwanza kununuwa kwasababu halina hata mwezi tangu hii design itoke 
Kwakweli sikuliacha. Ila maumivu niliyapata

Kifaa

Vijana wakiangalia Kifaa

Vijana wakipiga simu kuomba maelekezo. ila jamani sikuna muongozo. Sijui kwanini huwa hatupendi kusoma. tunapenda kutumia uzoefu. Hapa walirudi kusoma ndio wakaelewa

Mzee criss akitafakari

Nikasema ngoja ni test kifaa kimoja

Katika maandalizi pia akili lazima ipumzike kidogo basi nikasema hebu nifanye safari ya Jangwani

Dah huko jangwani unakwenda kwa kilimo kwanza na  ma 4X4 za ukweli

Dah badala ya kupumzisha akili nikaanza kuwaza inawezekanaje dah bongo tunashindwa kutumia mbuga zetu vizuri. wenzetu jangwa wanalitumia vizuri. je wangekuwa na mbuga za wanyama


Dah tumuache mwarabu abaki kuwa mwarabu


mambo ya safari za jangwani

Matumizi mdadala wa kilimo kwanza. huku kwetu ni za WaheshimiwaMdau akirudisha chenchi. Simchezo kweli kama hauko fiti  huwa roho inaweza chomoka


Haya ndio matumizi mdadala
Maswagga ya jangwani
Dah mwisho wa kunuku. Ngoja nikapande treni yetu iliyo zinduliwa jana. Hope hakuna kukabana. Sijui inatumia muda gani kufika mjini