GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, September 26, 2012

The Wedding of John Shoo and Comfort Mushi. Na beep kidogo tu chakula bado kiko jikoni

John and Comfort safi sana hakika mlipenzeza sana

Nice
In Love


Dah Hakika Comfort umelitendea haki gauni lako. Safi sana
Swagga la baba Mwenye NyumbaMaharusi wakiwa na Wasimamizi wao. Best Man na Matron


Comfort akiwa na Matron 2

Swaaga la Ruka Juuu. Safi sanaThe team
nice
The Girls safi sana


The BoysSafi sana. Kweli huwa napenda pale mharusi  wanapo shirikiana na mpiga picha mwisho wasiku lazima kazi iwe nzuri. 

Swagga la Upendo , uaminifu na ushirikiano. Safi sana
Namimi nikatowa swagga na Maharusi


Jamani mwisho wakunuku. Kwa niaba ya GRM Pro na Wadau napenda kuwatakia maharusi hawa maisha mema yenye amani upendo na Raha.