GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, September 10, 2012

Sia's Night Na beep kidogo tu

Sia safi sana hakika ulipendeza sana


Hakika umelitendea haki gauni lako
Sia akiwa na Matron wake
Sia akiingia ukumbini. Namuona kijana wangu Lusubilo akiwa makini kunuku tukioUpendo kwa wazazi


The Love .woh nimekubali

Nimekubali hili swagga


Sia akiwa na Mchumbawake ambaye kwasasa ndio mume wake. Safi sana


Jamani mwisho wakunuku. Poleni wadau sikuwa hewani kama wiki moja kaeni mkao wakula kuna mambo mazuri yanakuja.