![]() |
| Remmy akiwa na mke wake Sonia. Safi sana Hakika walipendeza sana |
![]() |
| In Love |
![]() |
| Swagga la Beba Mwali. Safi sana. Sio watu wote wanaweza kuwabeba wakezao! |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Dah Hakika Sonia Umelitendea haki hili gauni Dah nimekubali |
![]() |
| Swagga la baba Mwenye nyumba |
![]() |
| Kwakweli Mmependeza. Nimekubali hu ubunifu wa Sonia. Kila mtu avae rangi yake. Safi sana sio kitu kirahisi. Hongera dada. Mama wa 8020 Upo ! |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Mume wa Sonia Akiwa na Bestman wake aka The Director. Safi sana |
![]() |
| Maharusi wakiwa na Bestman na Matron |
![]() |
| Upendo kwa Matron |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Best Man Na Matron. Safi sana The Director wa 101 Studio akitowa swagga. |
![]() |
| Nice. Hawa ni Mr and Mrs hawako kikazi. |
![]() |
| Upendo kwa wazazi |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Upendo kwa Dada's |
![]() |
| The boys |
![]() |
| Upendo kwa kaka |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Jamani Mwisho wakunuku Chakula Bado kiko jikoni |



























































































Mmependeza sana,bi harusi gauni lako umenunua wapi????
ReplyDelete