![]() |
| Mohamed and Mutama wakijianda kuanza Rally |
![]() |
| Dah nilipokuwa napiga picha sikuamini macho yangu. Kila mtu alikuwa anawategemea kuwa huenda ndio wangeshinda rally. |
![]() |
| Dah kwakweli nilipokuwa napiga hizi picha nilikuwa nasali jama wapone wasije poteza maisha. Kweli mungu mkubwa |
![]() |
| Kiutaalam nasema i was at wrong place with Right Camera and Lens(Nikon D3X and Lens 28-300 MM) Nikimaanisha nilikuwa nimesimama mbali sana na tukio |
![]() |
| Dah kioo kikichomoka. Yani hapa ni nusu sekunde ila thanks kwa Camera yangu haijawahi kuniangusha hatasikumoja |
![]() |
| Dah jama walichomoka bila hata kuchafuka wala kuumia. Kweli Mungu ni Mkubwa |
![]() |
| Kweli ingekuwa nizile gari zetu za kimagumashi sizani kama kunamtu angechomoka akiwa mzima |
![]() |
| Bahatimbaya Rejeta ilipasuka ila jama waliaka kuendelea na Rally |
![]() |
| Dah Mchina wa gerage ya sinza akiwahi dili ya kunyoosha gari. Jamaa yuko faster. Kweli kufa kufaana! |
![]() |
| kamanda |
![]() |
| Kamanda |
![]() |
| Nikimpa pole kamanda. Jamani Rally bado inaendelea nitawaletea matukio zaidi. |




























Thank you very much and keep up the good work
ReplyDeletemutuma a.k.a Kamanda