Nilipotea kidogo, nilichukuwa likizo fupi baada ya mapambano ya 2015. Thanks Likizo imekwisha sasa akili mpya, nguvu mpya na mambo mapya.
Kama kawaida kila mwaka tunakuja na mambo mapya kuanzia vifaa na
Technology. Tulianza na HD, tukaja na Mambo ya Hd wireless kwenye Video camera
na Plasma TV-(2014-2015) sasa Mwaka huu 2016 ni 3D yani output yetu kwenye
upande wa video sasa tutakuwa tunatowa DVD(BD-R) za Blu-ray.
Hizi DVD-BD-R moja inakuwa na uwezo (Capacity) ya kuweka
data kuanzia GB 25-50. Dvd zakawaida zinakuwa na capacity ya 4.7 GB so mambo ya
kushoot video kwenye HD alafu unakuja kuconvert ili iweze kuingia kwenye DVD
zetu zakawaida umekwisha. Sasa unashoot HD na output ni HD. Na wewe mdau
itabidi uwe na DVD deki yakisasa yenye uwezo wa kucheza DVD za Blu-ray yani DVD
zenye capacity kuanzia 25GB na kuendelea. Cheki Deki yako kama imeandikwa
Blu-Ray
|
Video camera HD Wireless ilitesa 2015 na bado inatesa 2016 kwasababu wanasema Wireless ni habari ya Mjini ukiachia 'Mbwana Samatta' |
Tunazidi kuleta mabadiliko kwenye hii sector ya still picture na Video Production.
Tuombe uzima huu ni mwaka wa Kazi
Have a nice Day
Regards
Gabriel Makupa