GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, August 1, 2016

Bellas Night Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Hakika Bella alipendeza. Safi sana


Nice


Hakika Bella alilitendea haki gauni lake.

 \

The Girls

Upendo kwa Mama
Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Goldern J


Nimekubali hii keki


Kama Kawa GRM Pro hatuko nyuma kwenye mambo ya  tekelinalokujia hahaha.   Hapa tukitumia Drone maalum kwa matumizi ya ndani  'haiwezi kujigonga ukutani au kumgonga au kumdondokea mtu'.

Drone ikifanya mambo yake. kwaheri Craine au machuma chuma.

Swagga la Juu kwa Juuu hakuna machuma
Speed 180
Bella akita na Mchumba wake ingawa kwa sasa ni Mr & Mrs safi sana


Nice
The Moment. 
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more 

Keki

Mrisho wakunuku