GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, August 26, 2016

Emiliana's Night. Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Emiliana's alitokelezea. Safi sana

Nice


Hakika Emiliana alilitendea haki gauni lake la Sendoff.Emiliana akiwa na Matron wake.

Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more

Upendo kwa wazaziEmilian akiwa na Mchumba wake mtarajiwa ingawa kwa sasa ni Mr and Mrs. Safi sana
Hongera  Mr Mdachi aka Mc Mdachi


Mwisho wa Kunuku