GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, August 18, 2016

The Wedding of Alphonse and Jackline. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Alphonse na Jackline walitokelezea. Safi sana


Nice

The MomentSwagga la Ruka Ju


Hakika Jackline alilitendea haki gauni lake


Nice


Swagga la Baba mwenye nyumbaMaharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman na Matron

The Team


Le SwaggaaaaKwa Maswagga zaidi zama hapa Kwenye read moreHakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Kiramo hall

Duu Nimekubali hili swagga wakati wa  kusign mkataba wa kuishi pamoja mpaka kilo kiwatenganishe.


Keki
Mwisho wa kunuku