GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, December 14, 2018

The Wedding of Renatus & Glory. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!


Hakika Renatus & Glory walitokelezea. Safi sana

Nice

Kama Kawa Glory alilitendea haki gauni lake la harusi












Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more

Wednesday, December 5, 2018

SGR-Dar es salaam -Morogoro Line as Nov 2018. Onja kidogo


Dah Nianze kwa Kusema Shikamoo Baba ya Baba. Dah  nimeshuhudia hii SGR kwakweli hata nikitangulia mbele za haki nimeona moja ya historia kubwa katika nchi yetu. Hii Project ni kubwa na inakuja kuleta mabadiliko mkubwa sana. Hongera sana Mh Rais kwa hii project.

Dah najua hii sio kama lile daraja lakigamboni ambalo tuliruhusiwa kupiga picha. Soo nimeona nitoe kiu changu mapema kabla matreni hayajaanza kupita maana sitokuja pata fursa kama hii tena. Maana speed hii ya treni ni zaidi ya 200 per Hr . Soo wale maharusi kwenye hii SGR ya Baba la Baba hakuna mambo ya picha @@@@

Dah sijawahi ona Mkandarasi anayefanya kazi kwa usafi kama hawa Waturuki aka Yapi Merkezi





Hizi picha nazani wajuku zangu watakuwa wanashangaa sana Babu uliwezaje piga picha hapo sahizo nimesha RIP @@@

Ndio wanamalizia malizia mwakani tarehe kama ya leo Dec 2019 project itakuwa imekamilika. hope Baba la Baba utanikumbuka kama wale abiria wa mwanzo kabisa wa kutest SGR. Dar-Morogoro 1:30 hrs.
Yani unakwenda piga ile mishikaki ya morogoro jumamosi pale sokoni na kurudi. Jamaa aliye order kitimoto Dar unamkuta bado hajala. Wewe umeshakwenda moro na kurudi@@
Kwa Mapicha zaidi zama hapa kwenye read more




Yani ukiwa safarini utakuwa unaona mazingira  haya.  Haya majani yana wiki 3 tuu toka yapandwe. Sasa baada ya mwaka itakuwaje. nishaona tenda hapa yakukata na ku maintain garden pembeni ya SGR line





Mkongo wa Taifa- Mambo ya Internet
Hapa ni Dsm hii SGR itakuwa inapita juu kama KM 20 hivi kuanzia mjini kutoka nje ya jiji. Soo kutakuwa hakuna mambo ya foleni
Simchezo. 


Kwa Mapicha zaidi zama hapa kwenye read more

Friday, November 30, 2018

Pre Wedding Photo ! Gabriel & Emmanuela. Onja kidogo


Hakika G & E wanapendana. Picha huwa hazidanganyi. Safi sana
Nice



















 Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more