GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, November 2, 2018

Udzungwa Mountains National Park. Sanje Waterfall. Utali wa Ndani by Gabriel Makupa

Leo nimeona niwaonjeshe utali wa ndani. Pia kwakuwa tunaelekea msimu wa sikuku na mapumziko nikaona bora nianze ku share na wewe mdau wa GRM Production    vivutio mbali mbali vilivyoko Tanzania
Haya Maporomoko unayoyaona kwenye picha yanaitwa Sanje waterfalls- Maporomoko ya Sanje yako Udzungwa Morogoro. 


Uduzungwa ilitokana na neno 'Wadsungwa'. Wa  Hehe walikuwa wanaishi huku kwenye hii milima zamani. Lakini Mwaka 1992 hii park ndio ilianzishwa
NB:  Hizi picha nimezipiga mimi mwenyewe na nimeona mambo   ya kuweka logo hakuna haja wakati nawaamini wadau wa GRM pro. Mtu akitaka kuzitumia kibiashara lazima awasiliane na mimi. 
Kutoka kwenye record za Tanapa 
The park is covered by a huge Tropical Rainforest comprising of about 2500 different species of plants thus forming a habitat for different living creatures. It is a continuation of the famous Eastern Arc Mountain chains with their origin in the southern part of Kenya (Taita hills) running through North and South Pare, East and West Usambara, Nguu, Nguru, Uluguru, Ukaguru, Rubeho, Malundwe, Mahenge, Udzungwa and ending in Makambako Forest. The park is unique by harboring some of the endemic flora and fauna which cannot be found anywhere on earth except Udzungwa hence referred to as the ''centre of endemism''. 
Location and size
The park is positioned near Mang'ula village, about 60km south of Mikumi along Mikumi - Ifakara road off the Dar Es Salaam - Mbeya highway. It is 380km from Dar Es Salaam

 Accessibility
The park can be accessed by road network from Dar Es Salaam (380km) as well as Arusha, Kilimanjaro and Mbeya. From Mbeya the country is connected to the neighboring countries of Malawi, Zambia and DRC whereas in Arusha the park can be connected to Kenya and Uganda. It can also be accessed by train from Dar Es Salaam and Mbeya/Zambia - Kapirimposhi up to a small/local town of Mang'ula which is close to the main national park's gate.
There are two airstrips Msolwa and Kilombero which can be used by tourist through air transport before they connect using hired vehicles to the park's main gate. 

Accommodation
The park owns a Hotel (Twiga Hotel with a maximum capacity of 30 beddings thence 30pax) with self contained hot water/hot shower bedrooms. Laundry, internet and food/meals are available to all customers with the former (Laundry and internet) through specified rates and the latter (meals) upon advanced order through provided menu(s). 

Accommodation fee (Twiga Hotel) 

page5image47712
Non-East Africa
East Africa

Single
page5image52704
USD40
TZS. 40,000

Double
USD60
TZS. 60,000

page5image59472
Double separate beds
USD80
TZS. 80,000
Rest House
page5image64016
USD50
page5image65976




Tourist Activities
1.Hiking to the waterfalls and forest
    2. Bird Watching 
    3. Photographing and Filming
    4. Camping
    5. Picnicking

Park conservation/entry fee per person for 24 hours


page4image15848 page4image16440
East Africa
Non-East Africa
Expatr iate
page4image21856 page4image22280 page4image22752
Tshs
US$
Of or above the age of 16

 5000
30
15
Between the age of 5 and 16
page4image32760
 2000
page4image33688
10
5

Children below   the age of 5
Free
page4image39816
Free
Free

Jamani bei ni himilivu kabisa. Tutembele vivutio vyetu


Yani ukitaka sehemu ya kupigia picha nzuri unique tembelea huku. For wedding pix , pre wedding na Etc..

Ngoja niwape siri moja kwenye mambo ya picha za harusi. Nazani kuna wakati unakuwa unaangalia picha za harusi za wazungu unazipenda but unasema kwa bongo haiwezekani. wenzetu wanapigaga picha za harusi kabla ya harusi au baada ya harusi. Hawategemei siku hiyo ya harusi kwasababu ya muda.  Mfano wewe umefunga ndoa Dsm na suti na shella ni lako unaweza kuamua kuja huku for honeymoon but mkabeba nguo zenu za harusi na kupiga picha. Just imagine haya mazingira na view lazima utapata picha za hatari
Pia badala ya kuangaika na picha za Pre wedding ambazo kwa maoni yangu hautazitumia popote baada ya harusi ukaamua kupiga picha mmevaa nguo za harusi na kuja huku si inawezekana. 

Gadna G Abash akipiga Selfie. Hatari sana. 

Hapa ndipo maporomoko ya Sanje yanapo anzia kuporomoka 






Blue Monkey - Only Udzungwa
Iringa Red Colobus Monkey (Colobus gordonolum) 
Hawa wanapatikana Uduzungwa tutu
Only -Udzungwa
Pia unaweza kuja kutengezeza Documentary huku

Ila Msema kweli ni Mtu wa Mungu kuja huku kwenye Maporomoko kuna kazi ya kupanda mlima. Usije na Moka zako  Hi fimbo nilikodi tsh 3000 kama sikosei lol nilikuwa na Hangover ya jana yake ilikwisha yote

Tupende utali wa ndani jamani. Siumeona mambo hayo. Sasa next nakuja na  Mikumi National Park



No comments:

Post a Comment