Hakika Renatus & Glory walitokelezea. Safi sana |
Nice |
Kama Kawa Glory alilitendea haki gauni lake la harusi |
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more
Dah sijawahi ona Mkandarasi anayefanya kazi kwa usafi kama hawa Waturuki aka Yapi Merkezi |
Hizi picha nazani wajuku zangu watakuwa wanashangaa sana Babu uliwezaje piga picha hapo sahizo nimesha RIP @@@ |
Yani ukiwa safarini utakuwa unaona mazingira haya. Haya majani yana wiki 3 tuu toka yapandwe. Sasa baada ya mwaka itakuwaje. nishaona tenda hapa yakukata na ku maintain garden pembeni ya SGR line |
Mkongo wa Taifa- Mambo ya Internet |
Hapa ni Dsm hii SGR itakuwa inapita juu kama KM 20 hivi kuanzia mjini kutoka nje ya jiji. Soo kutakuwa hakuna mambo ya foleni |
Simchezo. |