![]() |
Hakika Michael & Joyce walitokelezea |
![]() |
Nice |
![]() |
Nimekubali hili Swagga la Ki Africa print! |
![]() |
Nice |
![]() |
Wanasema Picha zinaongea lol kwani ukiwaangalia hawa utajua tuu kuwa wanapendana sana.@@@ Na ni kazi ya mpiga picha kuweza kuonyesha Love kwenye picha.@@@ |
![]() |
Swaga la Ruka Juuuu |
![]() |
Mwisho wa Kunuku. Nawatakiwa maisha mema yenye furaha , Upendo na Amani. Nitawaonjesha picha za harusi yao soon! |