Event: Kilimanjaro Marathon 2019
Location: Moshi Shanty Town- Lema Road
Photography: Gabriel Makupa
Distance: 3KM kabla ya kufika Mwisho wa Marathon
|
Simchezo nimewakubali hawa. Mtanzania alishinda mbio za KM 21. Safi sana. Yani walipita kama Upepo |
|
Nilikuwa na Test Mitambo lol. Wacha nibaki na Fani yangu Picha Lol . Yani nilijaribu kukimbia nikahisi figo imedondoka kwa Ndani ya Mwili π But one day nitaingia uwanjani. |
|
Lol Mwaka Huu wacha mashabiki wa Arsenal tuanze kujitokeza taratibu. Tumeteseka sana πͺ |
|
Test Mitambo |
|
Yani hawa jamaa wamepita kama baada ya dakika 8 ndio unaanza kuona watu wengine. Sijui wanamapafu ya Chui ππ |
|
Yani Wanaruka sio kukimbia π
π
|
|
Due speed 200. NB Nilikuwa napiga Pix kadri watu wanavyopita. Soo kwa mtiririko wa picha unaweza juwa nani alimaliza mapema |
|
Hawa Profesional kumbe wanaruka |
|
Duuuu |
|
Swagga la Mambo ni mengi muda ni mchache |
|
Nazani huyu dada alishinda upande wa Wanawake KM 21 simchezo π |
|
Duuu safi. Alafu unakuja kumzingua lol Kapita wanaume kibao |
|
Safi |
|
Ukiona Mwili unataka kulipuka unapigwa maji |
|
Nazani hapa anahisi figo imedondokaπ Tuache utani kichomi kinauma lol |
Kwa Picha zaidi zama hapa kwenye read more