GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, May 30, 2019

The Wedding of David and Hellen. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!


Hakika David & Hellen walitokelezea
Nice. Kweli nililikubali hili gari lililo wabeba maharusi  Nilipoliona nikasema haitakuwa poa kama hatutapiga hata swagga moja hapa kwenye gari

Nice 








Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman & Matron




The Team








Kwa Maswagga zaidi Zama hapa kwenye read more

Wednesday, May 29, 2019

The Wedding of Godfrey & Joyce. Onja kidogo jinsi mambo yalvyojiri!

Hakika Godfrey & Joyce walitokelezea. Safi sana



Safi


Hakika Joyce alilitendea haki gauni lake la harusi












Swagga la Baba Mwenye Nyumba




Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman & Matron







 Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more