Zumba Land |
Safi sana |
Bado matengenezo yanaendelea |
Treni iko |
Safi sana |
Mpaka Meli iko |
Manzari nzuri |
Mpaka Ndege iko |
Rubani Sasha aka Super model wetu akitowa swagga baada ya kurusha ndege ndani ya Zumba Land |
Manzari nzuri ya Moshi Town. Safi sana |
Dah Yani mji ni msafi. Kiatu kikiwa na matope unakamatwa na unaambiwa ufute hayo matope unatuchafulia mji wetu! |
Aika Mbee nimekubali |
Dah Safi sana |
Kwakweli hauwezi kusifia usafi wa mkoa wa kilimanjaro bila kusifia pia utamu wa nyama choma za huko. Hapo ni Super model wetu Simon akikaribishwa Kwa ndafu. |
Magari yakifanyiwa Service tayari kwa safari za X-mass. |
Kijana wa Nikas -Seba malandrover akiwa kazini |
Catherine Safi sana hakika alipendeza sana |
Nice |
Hakika hi shuhuli ilipendeza sana. |
Hakika Catherine alilitendea haki gauni lake |
Catherine akiwa na Matron wake. Dah jamani kila mtu alipendeza kwenye hi shuhuli. Mwenye macho hambiwi tazama |
Nice |
Safi sana Mr and Mrs. |
Nice naona bado tunakumbuka maswagga ya harusi. |
Namimi nikatowa swagga |
Upendo kwa babu's |
Dada Doris safi sana |
Nice |
Cathie akiwa na mume wake mtarajiwa ambaye kwa sasa ni Mume wake. Safi sana |
Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Diamond Vip |
Dah nimependa jinsi biharusi mtarajiwa alivyokuwa anauona ukumbi. Safi sana |
Dah nimekubali hi keki. |
Dah hapa nimejikubali mi mwenyewe |
Nice |
Ukumbi kwa Nje |
Biharusi mtarajiwa akiingia ukumbini |
Mheshimiwa akitowa utambulisho. |
Mke wa Mheshimiwa Makamu wa Rais alikuweko |
Mama Tunu Pinda Alikuweko-Mke wa Waziri Mkuu |
Safi |
Mc Wa shuhuli |
Jamani Mwisho wakunuku. |