![]() |
Ruth safi sana hakika alipendeza sana |
![]() |
Ruth akiwa na Matron wake |
![]() |
Upendo kwa wazazi |
![]() |
Upendo kwa kaka |
![]() |
Mwisho wa kuonja kwa leo |
![]() |
Damaris and Patrick safi sana hakika walipendeza sana. Kiswagga zaidi |
![]() |
Nimekubali hili swagga |
![]() |
Kwakweli huwa kama maharusi wanakuwa wametenga muda mrefu wa kupiga picha lazima kuwe na maswagga makali. Safi sana |
![]() |
Hakika Damaris alilitendea haki gauni lake la harusi |
![]() |
Safi sana |
![]() |
In Love |
![]() |
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron |
![]() |
Patrick akiangalia kiatu cha mke wake Damaris. Safi sana |
![]() |
Kiatu cha Bi harusi kikitowa swagga |
![]() |
Bi Harusi akiwa na the girls |
![]() |
Safi sana kweli nimewakubali |
![]() |
The Boys |
![]() |
Swagga la Baba mwenyenyumba |
![]() |
Jamani Mwisho wakunuku. Kwaniaba ya GRM Production nawatakia maharusi hawa Maisha mema yenye furaha, upendo na Amani |