GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, April 30, 2014

Msimu mpya wa mambo ya harusi ndio umeanza na maswagga mapya. Kama kawa GRM Production tumejipanga, wadau kaeni mkao wakula. Mwaka hu tutakuwa na mambo mengi mapya na tunaahidi mapinduzi makubwa katika seckta hi ya mambo ya harusi.. Onja kidogo !

Mgusi and Elika safi sana hakika walipendeza sana. 


Nice









Swagga la dunia mduara. Kweli ukiangalia hi picha utaamini kuwa dunia inaumbo la mduara au Mviringo


Swagga la 3D



Swagga la ruka juu. Huwa napenda kuwashauri maharusi wakati wanapiga picha wasichoke kwasababu harusi huwa haijirudi. Maharusi  wanasikumoja tu ya kuweka kumbukumbu ambayo itabaki milele.  Nimependa hawa maharusi walivyokuwa wanatowa ushirikiano






Dassu and Mamsau

Nimekubali hili swagga.  Nilipenda sana jinsi Dassu and Mamsau walivyo panga harusi yao. kila kitu kilichokuwa kwenye harusi basi maharusi ndio walitaka kiwe hivyo mfano chakula, miziki, aina ya picha wanazozitaka, mapambo na ratiba ya shuhuli nzima


Nice. Kweli huwa napenda ninapokuwa napiga picha alafu unakuta na maharusi wanapenda picha hapo lazima picha zitoke vizuri.  Ni mabibi harusi wachache wanaweza kuthubutu swagga kama hili. Mamsau nakupa tano.












Hili swagga lilibuniwa na Mamsau


Mwisho wakunuku. Chakula bado kiko jikoni. Nilikuwa nafanya backup nikaona kweli ngoja nionjeshe kidogo kwani hapa kuna picha kama 6000 za kuchagua na ninatakiwa kuselect ony 500 pix dah kazi ipo.

Tuesday, April 29, 2014

Furaha Night's. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri ndani ya GRM Studio's



Hakika Furaha alitokelezea. Safi sana


Furaha akiwa na matron wake. Makeup by Renks

Hakika Furaha alilitendea haki gaunilake. Safi sana






Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more

Flora Night's. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri ndani ya GRM Studio



Hakika Flora alitokelezea. Safi sana


Nice. 



Makeup by Renks








The Team


Maswagga ndani ya GRM Studio






The Moment


Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more