GRM Production
Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa
GRM Production
Tuesday, December 8, 2015
The Wedding of Sillah and Ancilla. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri
Hakika Sillah na Ancilla walitokelezea
Nice
The Moment
Swagga la Mama mwenye nyumba
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman na Matron
The Girls
Kwa maswagga zaidi mama haha kwenye read more
Read more »
Friday, December 4, 2015
Nemaya's Night. Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri!
Hakika Nemaya alitokelezea. Safi sana kwa Kudumisha mila
Swagga la Kimasai
Hakika Nemaya alilitendea haki gauni lake.
Nemaya akiwa na Matron wake
Neimaya akiwa na Mume wake mtarajiwa -'Morani' ingawa kwa sasa ni Mr & Mrs
Safi sana yani wameanza kufanana mapema lol. @@
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more
Read more »
Thursday, December 3, 2015
The Wedding of Faraja & Gwantwa. Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri!
Hakika Faraja & Gwantwa walitokelezea. Safi sana
Nice
Swagga la Kuchikuchi ....
Aksante Mungu kwa kunipa ...
Hakika Biharusi alilitendea haki gauni lake. Safi sana
Swagga la Baba Mwenye Nyumba
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman & Matron
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more
Read more »
Wednesday, December 2, 2015
Felistar Night. Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri!
Hakika Felistar alitokelezea
Nice
Kama kawa Maznat alimtendea haki Felistar
Hakika Felistar alilitendea haki gauni lake
Felistar akiwa na Matron wake
Kwa Maswagga zaidi zama haha Kwenye Read More
Read more »
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)