![]() |
| Mhe DKT John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania |
![]() |
| Rais John Pombe Magufuli akimtumbua mkurugenzi wa Jiji wakati wa uzinduzi |
![]() |
| Mayor wa Jiji akisalimia wananchi waliokuja kushuhudia uzinduzi wa Daraja |
![]() |
| Kweli Mheshimiwa Rais alitokelezea. Safi sana |
![]() |
| Ukika na Mheshimiwa na ukaweza kumfanya acheke namna hii basi unauhakika kuwa wewe hautambuliwi siku hiyo. Maana yakesho hakuna anayejuwa @@@@@ |
![]() |
| Safi sana. Hichi kicheko kilikuwa kabla Mheshimiwa Rais hajaelezwa kuwa kuna jipu linatakiwa kutumbuliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bwana P. Makonda |
![]() |
| Mheshimiwa Rais akipata maelezo ya kina kuhusu Jipu ambalo aliombwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam alitumbue. |
![]() |
| Mheshimiwa Rais akitafakari baada ya kuambiwa kuwa Mkurugenzi wa Jiji ni Jipu. Nazani mnajuwa kilichofwata. Ngoja niishie hapa niseje kutumbuliwa bure.....@@@ |
![]() |
| Mheshimiwa DKT J.P.Magufuli akizindua daraja |
![]() |
| Daraja laKigamboni -Nyerere Bridge |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Daraja lina njia 6. |
![]() |
| Ofisi mbalimbali. Kuna Mpaka kituo cha polisi. Safi sana kama Ulaya vile |
![]() |
| Hapa panafa picha za Pre wedding. |
![]() |
| Ilibidi tutumie Drone ilikupata picha na video za daraja vizuri |
![]() |
| Niliogopa kutoa swagga maana unaweza ku..... |
![]() |
| Kikosi Kazi |























































































