GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, September 10, 2018

The wedding of Dr Andrew Makupa & Pamela. 'The Royal Wedding' Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!


Hakika Dr Andrew & Pamela walitokelezea. Safi sana
Nice
Harusi ilifungwa Moshi TPC. Dah nimekubali hii garden si mchezo. Chini ya mlima kilimanjaro

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman & Matron


The Team

Kama Kawaida Pamela alilitendea haki gauni lake la harusi. Safi







The Girls



Nice


Simon & Sasha

Mama na Mwana. 

Super Model Sasha Makupa
Swagga la kifamilia zaidi





Upendo kwa wazazi



The Family







Nice
Hi Benzi ni ya mwaka 1967- C200 bado inadunda. Kitu OG



Nice
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more

ERB 50th Anniversary ( 1968-2018) Engineers Registration Board -Setup

Swagga la kikazi zaidi. Tumekuja kivingine kabisa 
Dah huu ni ukumbi wa Diamond jubilee ule mkubwa umepigwa Kipupwe aka Ac. Yani umefanyiwa ukarabati mkubwa sana. unaweza kuchukuwa watu zaidi ya 3000 kwa bei 'himilivu'


kijana akiwa makini kazini na kuenjoy mambo ya wireless

Hakuna utani kazini. Nilipotea hapa kwenye blog  kidogo ila kwa sasa tumerudi kwa nguvu.

Control center. Mambo ya video mixing na ku stream live





LED TV 65 inc  



Full HD



nikitoa maelekezo kabla ya kuanza kwa shuhuli
Kikosi kazi
Mwisho wa kunuku