![]() |
| Hakika Ibrahim na Petty walitokelezea. Safi sana |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Hakika Petty alilitendea haki gauni lake la Harusi |
![]() |
| Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman & Matron |
![]() |
| The Girls |
Kwa Maswagga zaidi Zama hapa kwenye Read More
![]() |
| Nimeona niwe nawajuza kuhusu mambo yanayojiri kwenye Tasnia hii ya mambo ya Sherehe. Leo nawaletea ukumbi mpya laking umeanza kufanya kazi toka 2019 Bragging Social Hall |
![]() |
| Pia kwenye huu ukumbi kunasehemu nzuri ya kupigia picha. ukikodi hu ukumbi Hamna haja ya kwenda sehemu nyingine kupiga picha. Unamaliza kila kitu ukumbini |
![]() |
| Barabara ya kufika ni lami. Unaweza kupitia barabara ya Goba au Makongo juu ukafika |
| Ukumbi kwa Ndani |
![]() |
| Baadhi ya picha nilizopiga hapa ukumbini kwenye gardernya Bragging Social Hall |
![]() |
| Nilipokuja kwenye harusi ya Bwire ndio niliuona huu ukumbi. Yani mwenye ukumbi yuko flexible anasikiliza mnachotaka na kuwapatia. Safi sana |
![]() |
| Mwisho wa kunuku. Kila wiki nitakuwa nawaletea vitu mbalimbali vinavyohusu hii fani yetu ya mambo ya sherehe ukumbi, Mc Dj na Etc |