![]() |
Safi Kenneth and Adeline |
![]() |
Hakika Bibi harusi kalitendea haki gauni lake |
![]() |
Nice |
![]() |
Safi sana |
![]() |
Hili Gauni si mchezo |
![]() |
Maharusi wakiwa na Best man na Matron |
![]() |
Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Mliman City |
![]() |
Hakika haya ni mambo ya Lotus na stage inayo badilika rangi kila saa kama kinyonga |
![]() |
Namimi ngoja nijifagilie nilitendea haki haya mapambo |
![]() |
Dada yangu Maza akiwa kazini. Safi sana uko juuu |
![]() |
Naelekea kanisani mwenye wivu ajinyonge! |
![]() |
Dada Mwamvita Safi sana. Hakika ulipendeza sana |
![]() |
Nice Salimia Ujerumani |
![]() |
Nice |
![]() |
Nimependa bibi harusi hakutaka watu wabebe gauni lake. Akaliachia ljibwage. Safi sana hivi ndivyo unalitendea haki gauni lenye mkia mrefu. |
![]() |
Jamani huyu Dada anaimba. Nice |
![]() |
Pingu zikiwa zimetulia |