Jimmy and Jenifa. Safi sana. hakika mlipendeza sana |
Nice |
Maharusi wakiwa na Bestman na Matron |
In Love |
Dah Kama Mheshimiwa JK |
Hakika Jenifa ulilitendea haki Gauni lako |
Dah siamini kama ile ndoto yangu imetimia. Nahisi jimmy ndivyo alivyokuwa anasema kimoyomoyo |
Kanisa walipofungia pingu. Azania |
Maswagga ya nje yakanisa |
Kanisa kwa ndani. Dah hapa nilijipinda |
Gari lililobeba maharusi |
Upendo kwa wazazi |
Hakika mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Brigade M-Lugalo |
Keki |
Kama Kawa Tulifunga Plazma-Samsung 50 Inc |
Nimekubali hili swagga la Bi Harusi |
Dada akiwakilisha machozi band |
Machozi Band |
Dah huyukijana wangu aliniwacha hoi na hili swagga. Situngefunga Craine! |
Safi sana napendaga sana napokutana na maharusi wangu. Naona Ndoa imejibu! Safi sana |
Jamani mwisho wakunuku. |