![]() |
Bwana Harusi akijianda kwenda kanisani |
![]() |
Bi harusi akielekea kanisani. Safi sana |
![]() |
Kanisa walipofungia pingu |
![]() |
Mr and Mrs. Details mtazipata next time |
![]() |
Namimi nilikuwa mwanakamati. Dah nilivunja kabati! |
![]() |
Kama nilivyosema chakula hata hakijaanza kupikwa. Kikiwa tayari nitakipakuwa |