GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, October 9, 2012

Happy Birthday Gabriel R Makupa!

Aksanteni wadau kwa kuni wish happy birthday. kweli siku kama yaleo na tarehe hi ndio nilizaliwa.

Aksante sana ma Super model wangu kwa support na kuwa nami bega kwa bega

Nice. Simon and Sasha

Pia nakushukuru Mrs G Makupa  for all the Support na Kunizalia hawa Masuper Model Simon and Sasha. Aksante sana
Rehema


Pia napenda kukushukuru sana DR Lucy Mboma for all the support na kuwa nami wakati wote. kweli hakuna kama Mama.
Jamani huyu ni Mama yangu mzazi

Dah sijui nisemeje hapa. pia napenda kukushukuru sana Bibi Yangu Mrs E makupa aka Mnene. I LOVE U

Hapa sina chakusema Aunty yangu Dr A Kisanga, Aucle DR C Makupa Na Mama Yangu Dr L Mboma. akasanteni sana kweli bila nyie singefika hapa. I Love u all


Dah Bibi yangu anamaswagga. Uzee haukubaliki

Bibi

Jamani Aksanteni sana ndugu , jama, marafiki pamoja na wadau wa GRM Production. Bila njie leo singekuwa hapana ingawa bado safari ni ndefu! Have a Nice day