![]() |
| Simon Makupa akiwa kazini. Dah dogo naona anaibukia kwa kasi |
![]() |
| Simchezo |
![]() |
| Dogo anaanza kuiva .Ila nimemuambia akiendelea kujituma iko siku atavaa jezi yetu ya kijani -GRM Production, na kupata ajira |
![]() |
| Dah simchezo. |
![]() |
| Kweli anajituma. Yani huyu dogo ukisahau camera unakuta kabeba yeye anapiga picha ndio nikaamua kumnunulia kamera yake. |
![]() |
| Dah safi sana. nakuaminia Simon. |









No comments:
Post a Comment