GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, October 5, 2012

GRM Production. Dokoa Kidogo Nesha Night. Chakula bado kiko jikoni!

Nesha safi sana hakika ulipendeza sana


Safi sanaHakika Nesha alilitendea haki gauni lake la harusi
Nesha akiwa na Matron wake. Safi sana


The Girls


Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Mliman City
Nice


Nimependa hi view
KekiTulifunga mobile studio

Tulifunga Craine

Jamani Mwisho wakunuku Nawatakia weekend njema