GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, October 24, 2012

The Wedding of Matina and Rachel. Onja kidogo tu jinsi mambo yalivyojiri!

Matina akiwa na Rachel. Safi sana hakika mlipendeza sanaNiceIn Love


Hakika Rachel alilitendea haki gauni lake la harusiIn Love
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman na Matron

Nice
Nice
Matina aka Mume wa Rachel. Baba hakika umeitendea haki hi suti. Safi sana nimekubali hili Swagga


NiceThe Boys
The girls

Brothers!


Nice

Sasha akitowa swagga

Nice


swagga la beba mwali!


Kanisa walipo fungia pingu-Mbezi beach Lutheran Church


Kanisa kwa ndani
Masala Akitowa swaggaMr and Mrs E Nkurlu. Safi sanaMchungaji akibariki Pete aka Pingu


Pingu


Sasha akifuatilia ibada kwa makini. Sijui anawaza iko siku na  yeye atakuwa bi Harusi

simon akifuatilia matukio kwa umakini kabisaDr Lucy Mboma


Chozi la furaha

Chozi la furaha

Mwenyekiti wa kamati. Fadhili Nkurlu

Nice
Nice

Upendo kwa dada. Nzigia

Nice

Nice. Upendo kwa Shangazi- Sofia

Mc Dr Cheni

Keki


S. Mwalimu


Bwana Harusi akisisitiza jambo.
First DanceNiceSwagga la rusha juu


Nikatowa swagga na Maharusi

Upendo kwa dada

Nice

Upendo kwa Mama


Jamani Mwisho wa kunukuuuu. Chakula Bado kiko jikoni!