GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, October 1, 2012

The Wedding of Richard and Winnie. Na beep kidogo tu jinsi mambo yalivyojiri!

Richard and Winnie. Safi sana hakika Mlipendeza sana


In LoveSwagga la baba Mwenyenyumba

Swagga la Mama Mwenyenyumba


Maharusi wakiwa na wasimamizi wao


Winnie akiwa na The Girls. Safi sana hakika mlipendeza sana


Bestman na Matron


Pingu zikiwekewa baraka


Nice

Richard akitabasamu wakati Winnie akisign mkataba wa kuishi pamoja mpaka kifo kitakapo watenganisha!


Mr and Mrs wakiwa na furaha baada yakufunga PinguDogo naye alikuweko. Safi sana. Hongera Dada Alice kwakukuza

Keki


Zawadi kwa wazazi
Jamani mwisho wakunuku. Nawatakia siku njema