![]() |
Dadi and Rehema. Safi sana hakika mlipendeza sana |
![]() |
Dah safi sana |
![]() |
Rehema akimuweka sawa Mume wake. Mwenye wivu ajinyonge |
![]() |
Dah hakika Rehema alilitendea haki hili gauni lake la harusi. Nimekubali |
![]() |
Rehema akiwa na matron |
![]() |
Swagga la baba mwenye nyumba |
![]() |
In Love |
![]() |
Nice |
![]() |
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao |
![]() |
Swagga la Baba mwenye nyumba |
![]() |
Keki |
![]() |
Dah nimekubali hizi ndafu |
![]() |
Dah hakika hizi pamba si mchezo. Safi sana |
![]() |
First Dance |
![]() |
Jamani Mwisho wakunuku. Kwaniaba ya GRM production na wadau tunawatakia maisha mema yenye Amani , upendo na furaha Dadi and Rehema. |
No comments:
Post a Comment