![]() |
Mzigo mpya umetua ili kuleta mapinduzi zaidi kwenye mambo ya picha-Photography |
![]() |
Dah nilikuwa naitamanigi hi Tripod kwa muda mrefu |
![]() |
Nikiikubali stand yangu ya bling bling. Designer stand |
![]() |
Natumaini sasa nitakuwa nimeitendea haki Nikon D4 kwa upande wa video |
![]() |
Hizi card nimezikubali dana |
![]() |
Underwater photo-video light |
![]() |
Sasa nikasema ngoja ni test vifaa kwa super model wetu Simon Makupa. Kama kawaida malipo yake nilimpeleka movie-na kumpiga chips mayai na kuku basi akakubali kufanya kazi |
![]() |
Maswagga ya chini ya maji |
![]() |
Swagga la CCM oyeee chini ya maji. |
![]() |
Duu sasa hapo uki smile tuu unakunywa maji. Kwaweli hi Idd lazima nije na maswagga kibao ya chini ya maji |
![]() |
Safi sana. Ukitaka maswagga ya chini ya maji tuwasiliane. Alafu wadau kwanzia next month utaweza kuja ndani ya GRM studio na kupiga picha ila tunapanga appointment. |
![]() |
Jamani mwisho wakunuku. Kwa niaba ya GRM Production nawatakia Sikuku njemaaaaaa |