Team ya RealMadrid wakiwasili katika duka la kisasa la Vifaa vya umeme Tanzania-Tropical lililoko Victoria. |
Hili jengo la tropical liko upande wakulia kama unatokea mwenge baada ya kituo cha mafuta victoria. Liko barabarani kabisa |
Mheshimiwa Meya wa kinondoni akitowa neno |
Mheshimiwa Balozi wa Zambia akitowa neno. Zambia ni nchi mojawapo inayo tumia vifaa vya umeme vya tropical. |
Uzinduzi wa Jengo, duka , na showroom ya Tropical |
Mchezaji wa Realmadrid akishanga kuona vifaa vya kisasa. Alizani yuko Hispania kumbe ni hapa hapa bongo |
haamini anachokiona! |
Bado anaendelea kushanga |
Toti akiingia ndani ya duka la Tropical |
Akitowa swagga na warembo wa tropical |
Kweli taa za tropical zimemchanganya. Mimi mwenyewe nimezikubali na ukija GRM utakuta nimezifunga. Mwenyemacho haambiwi tazama
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More
|