Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania Mh Edward Lowassa alipokuwa anawasili katika Jiji la Dar es salaam Juzi jumamosi. |
Mh E. Lowassa akiwashukuru wanachama kwa kumdhamini. Huku bendera ya chama nayo ikitowa swagga. |
Mchaka mchaka chinja, mchaka mchaka .... |
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mh E. Lowassa Mama Regina Lowassa akiwasalimia wana CCM. Mama kanogaje sasa lol CCM Oyeeee |
Mh Kingunge alikuweko. Safi sana |
Mheshimiwa akiwasili lol safi sana Ki upepo zaidi |
Mheshimiwa akishuka kwenye ndege
Kwa mapicha zaidi zama hapa kwenye read more
|