Emmanuel na Noreen. Safi sana hakika mlipendeza sana |
Nice |
Safi sana |
Safi sana |
Nimekubali |
In Love |
Swagga la Baba Mwenyenyumba |
Hakika Emmanuel umeitendea haki suti Dah! |
Maharusi wakiwa na Bestman na Matron |
Noreen akiwa na Matron |
Best man akiwa na Matron. Hawako ki kazi bali ni kifamilia zaidi nikimaanisha MR and Mrs. Safi sana |
Nice |
Kaka wa Bwana Harusi |
Bi Harusi akiwa na The Girls |
Upendo kwa kaka. Safi sana |
Manzari ya ukumbini. Lakini hapa ilikuwa mapema sana |
Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Kiramo-Mbezi |
Jamani mwisho wakunukuu |