George and Angelina safi sana hakika mlipendeza sana |
Nice |
Nimekubali hili swagga |
In Love |
The First Look! |
Safi sana |
Best Man na Matron wakitowa swagga |
Angelina akitowa swagga na Matron |
Nice |
George akiwa na Matron wake |
Swagga la Baba Mwenye Nyumba |
Nimekubali mazingira ya Dodoma Hotel |
Angelina akiwa na The Girls |
Pia tulifunga mobile studio ndani ya Mjengoni. Safi sana |
Hakika Angelina alilitendea haki gauni lake la Harusi |
Upendo kwa mama |
Upendo kwa mama |
Mazingira tulivu ya Dodoma |
Dah nimelikubali hili kanisa |
Nimependa Muonekano wake kwa ndani |
Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi |
Nimekubali hi mbali nakugaiwa vinywaji kila meza ilikuwa na Backup. Yani kama muudumu akichelewa unaendelea na kinywaji kilichoko mezani |
Namimi nikatowa swagga. |
Jamani mwisho wakunuku. Grm inawatakia George na Angelina maisha mema yenye furaha, amani na Upendo. Wadau weekend njema! |