Nilipokuwa nahitimisha ziara yangu kanda ya ziwa -Lake Zone nilisema lazima nije kuangalia hichi kivutio kikuu cha jiji la Mwanza ambacho ni haya mawe |
Nikiangalia kwa umakini |
Nikiyanuku Haya mawe |
Hamidu akinuku kivutio cha mwanza |
Hakika hapa nimeyatendea haki haya mawe. |
Nimejikubali |
Hili jiwe lililoko kulia naona watu wengi wakijaga kupiga picha wanaliruka. Nikasema japo nilinuku |
Kivutio kingine cha Mwanza ni huyu samaki anayerusha maji. Yani hapa pako busy na pameleta ajira. Kunawapigapicha wanapiga picha na unazipata papo kwa papo. |
Mazingira safi kwa jiji la mwanza |
Jamani aksante sana kwa Jiji la mwanza na Lake zone kwa ujumla. Nimejifunza mambo mengi sana. Na samahani wadau najuwa sijaupdate blog kwa muda. Now iam back in town so mambo yatakuwa super. |