GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, August 29, 2011

Edward and Harriet na beep kidogo tu

Safi sana hakika mlipendeza sana

Nice







Maharusi wakiwa na wasimamizi wao


Nice


Nimekubali haya maswagga.




Maharusi wakitandikana pingu

Mwisho wa kunuku!

Kikazi Ndani ya A-Town

Weekend hi tulivamia jiji la Arusha. 

Nikitowa swagga 



Mazingira ya jiji la Arusha. Hapa ni Stereo hotel Kwa mdau mkubwa wa GRM


Mta kwa Mta

Kama kawaida nilikwenda kupata mtura. Simchezo hapa ni ken-garden

Mtaalamu wa michemsho

Mtura ukiwa jikoni





Kweli hi sehemu niliikubali. Pametulia unakula swala huku ukisikia milio ya ndege. Panaitwa Sundance

Mazingira tulivu

Ndege walio kuwa wanatuburudisha

Kaa mkao wakula nitawaletea yaliyojiri Arusha. kwakweli nilikubali 

Wednesday, August 24, 2011

Janet Night! chakula bado kiko jikoni nawaonjesha kidogo tu!

Janet Safi sana

Nice







Matron






Janet akiwa na wasimamizi wake safi sana









Upendo kwa wazazi

Mapambo hakika Lotus walitendea haki Diamond VIP hall



Nimekubali




Kama kawa  Mama wa Maakuli alikuweko 

Yani Mamsosi ya kufa mtu. Safi sana



Mwisho wa kunuku!