GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, September 24, 2013

Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa. Onja kidogo jinsi alivyo -'nyakuwa Taji'.

Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa 

Hongera sana Happiness




Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa akiwa na mshindi wa pili   Latifa Mohamed and Mshindi watatu Clara Bayo

Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More

Wednesday, September 18, 2013

Tabby's akijianda kwa ajili ya Siku muhimu katika maisha yake. Onja kidogo

Tabby akiwa tayari kabisa kuelekea kufunga ndoa na Innocent

Safi sana Hakika Glam Madam alimtendea haki

Dah hili gauni nimelikubali na Tabby kalitendea haki. Yani gauni lake la harusi linatowa swagga balaa. Upepo ukilipuliza tuu linatowa swagga. safi sana. Siku nikiwaonyesha picha zaidi ndio mtajuwa  nasema nini.

Duuu safi sana Hi picha ni ya kuframe kabisa. Innocent uko.....!!!


Nice

Swagga la kucheza na vioo.


Gauni likitowa swagga

Dah kupiga swagga kama hili mpiga picha lazima ujipinde. 







Dah hi picha ni nzuri ila nimeiharibu mimi mwenyewe. nimetokea. Hapa sikujipinda. Ila sema kweli mimi sipendi kuedit picha. Napenda uhalisia zaidi.



Swagga 



Yes today is the Day......i say i do....




Kitu cha TZ. Safi sana





Nice












Namimi nikatowa swagga la kwenye kiooo


Dah Mganga hajigangi. Nikijaribu kujipiga picha. Jamani ushauri! Wadau tuwe na desturi kuwa na picha nzuri ili  hata ile siku ikifika basi watu wasiangaike kutafuta kitambulisho cha mpiga kura, mara leseni ya udereva ili kuweza kuitumia kwenye 'sherehe yako ya mwisho hapa duniani'. Nazani tumelelewana. Sote tuko safarini hatujui ni lini tutaondoka. Sorry ila nimeona niseme.

Dah mpaka Flash ikapata moto.

Sinilisema gauni linatowa swagga. Hapa ni intro tuuuu. Safi sana







Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More