GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, October 29, 2013

Hellen alivyokuwa anajianda kabla ya kwenda kufunga pingu na Tibe. Onja kidogo!

Hakika Hellen alipendeza sana


Safi sana


Hellen akijikubali



Nice


Dah nimekubali hili gauni la harusi. Hakika Hellen kalitendea haki

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More

Monday, October 28, 2013

Rose alivyokuwa akijianda kwa ajili ya siku yake muhimu katika maisha yake. Onja kidogo!

Hakika Rose alipendeza sana

Safi sana Mwanamke kujipanga


Nice







Hakika Rose alilitendea haki gauni lake la harusi

Nice


Rose akiwa na Matron wake. Safi dana

Nice



Viatu vikitowa swagga


Glam Madam akiwa kazini

 Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More

Wednesday, October 23, 2013

GRM Production-The Wedding of David and Christensious. Kionjo-Video Clip

Lemmy Night. Onja kidogo Lemmy alivyokuwa anajianda. Ndio kwanza ninawasha jiko nianze kupika

Dah! Hakika Lemmy alipendeza sana

Nice




Mwanamke kutabasamu

Hakika Lemmy alilitendea haki gauni lake . Safi sana mwanamke kujipanga.

Swagga

Dah safi sana.



Lemmy akiwa na Matron wake. 

Safi


Mwanamke jicho


Dah kweli Lemmy alijipanga. Nimependa jinsi alivyochagua rangi. Kweli Wametokelezea
Safi

Nimekubali


Hapa Nimejikubali mwenyewe

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read More

Tuesday, October 22, 2013

Sumay's Night. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Hakika Sumay alipendeza sana. Hongera dada.

Nimekubali hili gauni. Mwanamke 'kujipanga'

Sumay akiwa na Matron

Hakika Sumay alilitendea haki gauni lake.


Sumay akiwa na Mume wake mtarajiwa ingawa kwa sasa ni Mr and Mrs. Safi sana

kweli wamependeza 

Sumay akimuangalia Mumewake mtarajiwa kwa jicho la...... Najuwa hapa alikuwa anatamani ndio iwe ile siku ya ndoa!!!!


Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more