Mwenye macho huwa haambiwi tazama. Hakika Luckson na Rosemary walipendeza sana! |
Nice |
The Moment |
Swagga la 3D |
The Boys |
Harusi ilifanyikia katika ukumbi wa Mlimani City. kama kawaida keki ilikuwa chini ya dada Monica. |
Kama kawaida mapambo yalikuwa chini ya Hugodomingo. Safi sana |
Table Setup na chakula ni Dorka-dorkacatering. aka Dada wa Protocol |
Nimelipenda hili swagga |
Jamani Mwisho wakunuku. Ndio kwanza ninawasha jiko nipike. |