![]() |
| Abdul and Mwahija hakika walitokelezea. Safi sana. Mzee wa Shereheyetu.com |
![]() |
| Dah Hakika Mwanahija alilitendea haki gauni lake. Gauni la Bi harusi limebuniwa na Eve Collection. Safi sana |
![]() |
| Swagga la Mama mwenye nyumba |
![]() |
| Kamanda Abdul. Kweli mganga hajigangi lakini sikuhi alijiganga |
![]() |
| Nice. kweli nimemkubali Eve |
![]() |
| Swagga |
![]() |
| The team |
![]() |
| Namuona MC Pilipili |
![]() |
| Swagga la Vuta nikuvute |
![]() |
| Nice. Hapa namimi najikubali. Sifa jipe mwenyewe!! |
![]() |
| Swagga la Vuta ni kuvute |
![]() |
| The Girls |
![]() |
| Swagga Hatarishi. Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More |



















































